Kipikikusikitishacho...................

mansolata

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2016
Posts
502
Reaction score
318
Habari wana jf

Ikiwa tunaelekea kumalia robo ya tatu ya mwaka 2018..pengine.....kunamambo yanaendelea kukusikitisha ......

....Binafsi hua nasikitika sana pale nisikiapo kauli ya Mwanasiasa tena anayeishi na kustarehe kupitia kodi zetu ....eti. "Vijana acheni kulalamika.. ***mkajiajiri***". .....pasinakutoa suluisho la mitaji kwakua vijana wengi hawakopesheki....

Je kipikikusikitishacho?
 
Kinacho nisikitisha' ni raia wa taifa hili husika " kukubali kuongozwa na Kichaa
 
Kipikikusikishitasho nakumbuka nikikuwaga nashindwa kutamka hili neno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…