Kipima Akili. Pima bure afya ya akili yako

Kipima Akili. Pima bure afya ya akili yako

Rozela

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2024
Posts
845
Reaction score
2,235
Kama akili yako iko sawasawa usijibu wala kuweka reaction yoyote kwenye uzi huu.

Ukijibu tu ujue una changamoto ya afya ya akili.
 
Ww una shda ya akili.hujakua huna kazi ya kufanya.kijana tafuta kazi ya kufanya.
 
Ukimaliza kupimwa halafu wahudumu wakakuambia, kaa subiri kidogo tukuitie ndugu zako. Basi ujue kuna mahali fyuzi zimekatika.
 
Back
Top Bottom