atazitumiakiongozi mkubwa, akialikwa kuzindua mradi wa uoteshaji miti
huwa na yeye atapandikiza angalau mti mmoja.
Akialikwa kuzindua bara bara, atatembea angalau hatua mbili tatu.
Akialikwa kuzindua mradi wa kupima kwa hiari vvu,
na yeye pamoja na mkewe huwa wanapima kuhamasisha wananchi.
Swali. Je,
atakapoalikwa kuzindua mradi wa utumiaji wa condoms atafanya nini?
anapewa za bure anakwenda nazo nyumbani mbona condom anaweza kuzitumia kwa uzazi wa mpango au we hujui?