Wanajamvi
Wageni waalikwa Mwanaharakati Marcus na Ndugu Rodrick wa haki za binadamu. Wameonyesha wasiwasi wao kwa wanaongoza bunge kwani wamefafanua kanuni ziko wazi na kwanini wabunge hawajadili hoja zilizowasilishwa wanajadili interest za chama.
Wamerusha matusi ya Lusinde na wengine
Ndipo wakawapa washiriki nafasi wajadili.
Nasi tujadili