Kipimo cha 'ball possession'

Mr. Bigman

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2011
Posts
2,560
Reaction score
1,300
Wale wafuatiliaji wa matangazo ya mchezo wa mpira wa miguu(soccer) katika Tv tumezoea kuonyeshwa hii kitu. Labda utakuta 53%-47%. Nimekuwa najiuliza hii inakokotolewa vipi katika mchezo? Ni idadi ya kitu gani kinachohesabiwa ktk kumiliki mpira?. Wakuu wataalamu wa soka naomba wafunguke
 
Muda ambao mpira unakuwa kwenye timu fulani,say kila mchezaji wa timu fulani anakuwa amekaa na mpira kiasi gani wakati mchezo unaendalea,achlia mbali mbwembwe za kujilaza kipa.
 
Muda ambao mpira unakuwa kwenye timu fulani,say kila mchezaji wa timu fulani anakuwa amekaa na mpira kiasi gani wakati mchezo unaendalea,achlia mbali mbwembwe za kujilaza kipa.

Thanks nimekupata mkuu,yaani lets say ndani ya dk 20, za mchezo team A inaweza kuchezea mpira kwa dk 11,na team B kwa dk 9. That will possion of 55% to 45%. Good
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…