Kama mwezi umepita nilipo pata lile tukio la dharura ikanibidi haraka niwahi kuomba PEP, nikapatiwa ikabidi ni kae zaidi ya mwezi mmoja ili nipime kama hali koje
Jana nikajitoa mhanga nikajipima, majibu yakawa clear yani mstari mmoja, kile kipomo sikukitupa nikawa bado nimekiacha mezani nikatoka nyumbani baada ya kurudi nikakuta mistari mitatu kwakweli nilitaka kuzimia.
Nikaamua kurudia mara mbili sababu nikikuwa na vipimo vitatu, vyote viwili nilivyo rudia mwanzo havikuonesha mistari zaidi ya mmoja lakini baadae vikaonyesha mistari miwili
Nilidhani niko na kujiamini, kweli sikuwa na kujiamini kabisa nilitaka kuzimia kwa hofu kubwa.
Leo nikajitutumua kwenda kule kwenye kituo cha afya ili nikafungue file kufika kule nikawambia kwamba hali sio nzur. Wakasema wanipime, walipo nipima wakanaimbia mbona hakuna nikawaambia bado muda sababu majibu yana kuja baada ya dakika 30
Wakaniambia hivi vipimo vipya, inapaswa usivisome baada ya dakika 20 zaidi ya hapo majibu yana kuja sio, hivyo usihofu. Mpaka dakika hii bado nina tetemeka ninataka kwenda kutoa damu nyingi niangaliwe vizuri zaidi