Baada ya kufanya ngono isiyo salama kwa miezi takribani isiyopungua sita huko nyuma, mwili ulianza kutokuwa katika hali yake ya kawaida, nimekuwa na homa za mara kwa mara miezi yote hyo, kichwa kuuma, fatigue na mbaya....(simu ilizima charge sikuweza kumaliza thread yangu) ...zaidi kuna vipele vinavyowasha sana vingi vingi maeneo ya tumbo, bega, shingo na hata kiuno nikidhani mkanda wa jeshi(herpes zoster)... lakini cha kunishangaza hasa mpaka kuuliza accuracy ha hicho kipimo, ni siku ya jana nilienda pima HIV na kupewa majibu kuwa ni NEGATIIVE!!!!!!!!!!!!!!