Crispin Nyoni
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 413
- 90
Wadau kuna kipimo cha kujua kama mwanamke amefanya mapenzi na kugundua kuwa amefanya saa ngapi na amefanya na nani?Yaani naulizia after sexual intercourse medical checkup. Inawezekana?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wadau kuna kipimo cha kujua kama mwanamke amefanya mapenzi na kugundua kuwa amefanya saa ngapi na amefanya na nani?Yaani naulizia after sexual intercourse medical checkup. Inawezekana?
Okey kumbe!hospitali watapima stinking,public hairs relation na macho watajua ni nani anakuibia. Possibly!
Tiririka Pastor tuelewe zaidi kama umetuacha kwenye mataa hivi
Okey ni hivi:
Kama mwanaume unayemuhisi akafika kwa daktari na mkeo kuna uwezekano wa kugundua hivi:
1.STINKING-Ni njia ya kupima harufu ya utoko kupitia kwapa zao na nguo za ndani ambapo daktari atapata harufu inaitwa major ambayo nusu ya harufu ya mkeo na nusu ya huyo mjamaa. Kumbuka kila binadamu ana harufu yake refer nguo zetu.
2.BP-Cystolic pressure ya mkeo na yake itakuwa sawa ila diastolic pressure ya mwanamke itapungua ya mwanaume itazidi.
3. Public hair relation. Kwa macho daktari ataona mavuzi ya kila mmoja yamegandiana kwa mwenzake
4. Mwanaume hataweza kusimama mguu mmoja peke yake na mwanamke hataweza kuinua mkono wa kushoto kwa muda mrefu.
5. Ultra sound na vpm vya macho vitaona sura ya kila mmoja iko kwa mwenzake. Ndo maana majambazi huwa wanaficha uso wanapodhuru kupoteza ushahidi kwa macho ya mdhuriwa.
Asilimia ya matokeo haya vipimo vifanywe kabla "hawajaoga".
Nadhani umenielewa mkuu
hee yote ya nini?
Mkuu Kennedy umeianza vyema comment yako.Amani ya Bwana Ipitayo Akili zote iwe nawe
Haya mengine Mkuu yatakupa tabu ushindwe
kuishi kwa Amani pia fanya utafiti na ushahidi
usiotiliwa shaka kama huenda unaibiwa mali.