Huyo ni mpuuzi mwache afe na korona tutarithi hayo maduka
Kazini, hata mtaani ukijenga nyumba nzuri wanatupia mawe, wanaweka taka kwa geti, Angalia taasisi kama za kodi wale maofisa wanapiga wafanyabiashara kodi Kubwa kwa roho mbaya. Wtz ni shida.ulitaka jua wa TZ tuna roho mbaya fatilia makazini yaani mtu yuko radhi akuharibie kisa ameona unaanza ona mwanga wa maisha.
Fukara weweKama huna haja ya kua na gari usinunue gari kama ufahari maana utakua umelinunua bila malengo maalum. Gari inaweza ikakaa miaka mitatu ikaharibika nyumba unaweza kuitumia hata zaid ya miaka 20 . Jenga kwanza nyumba ndo uanze kuwaza gari.
Mmmh...huu mtazamo ni wa maisha ya wapi? Mars? Kuna magari yanayolipiwa kwa miaka 4 na hapo alilichukua likiwa na 89,000kmUkiona mtu kanunua gari basi uwezo wa kujenga nyumba ni kama kumsukuma mlevi.
Gari unatoa hela zote moja kwa moja kama 15m unatoa hapo hapo ,hakuna oprtion ya kuanza kunua chassis au matairi au milango kisha ndio uunganishe , ila nyumba unaanza kununua kiwanja kwanza kisha unatulia ,unachimba msingi na kujenga foundation unatulia,unapandisha boma unatulia ,unaezeka na kuweka grill unatulia.
Mmmh...huu mtazamo ni wa maisha ya wapi? Mars? Kuna magari yanayolipiwa kwa miaka 4 na hapo alilichukua likiwa na 89,000km
Zaidi, kuwa na pesa sio kuwa na uwezo wa kiakili
Nilitaka kusema sina ninalojua mkuu, sikujua kuwa kuna lugha nyepesi ya kusema hivyo, asante kwa kunielewesha.Mkuu huna unalolijua naona umechangia lakini haujaeleweka ulikuwa unataka kusema nini.