Habarini za jioni wakuu na poleni kwa miangaiko ya siku nzima ya leo, rejea kichwa cha habari hapo juu kisha dondosha comment yako ukiifafanua kwauelewa wako.
Binafsi kipimo cha mafanikio kwangu ni thamani ya kitu nachoongeza katika maisha yangu kila wakati ukiacha malengo nayokua nimejipangia kwa nyakati fulani, mfano kununua TV, Kabati, Shamba nk..
Je, kwako ni kipi?