Wakuu kama ilivyo ada skuizi wanadai shughli za kiafya zina kwenda ki technologia zaid zamani tulikuwa tuna pima malaria kwakutumia microscope ila saiv wanatumia MRDT kifaa ambacho huweza kusoma plasmodium ndani ya dakika 15 nakutoa majbu yake. 90% huwa kinatoa majbu ila 10% sicho cha kuamnika kutokana na hizi factor.
MRDT kina antgen hivyo kina hitaji antbody za mwli wa mwanadamu ili kiweze react nakutoa control result error inatokea iwapo una antbody yeyote mwlini basi kitasoma +ve kitu ambacho syo kwel, jambo lingne nikwamba waweza tumia dawa ya malaria na plasmodium waka be destroyd but stl antbody zkawa bado mwlini ukienda pma malaria utambiwa bado unayo kumbe malaria ilisha isha mwilini ila bado antbody zko mwili hvyo twashauriwa tuki tumia dawa ya malaria tukae atleast mwezi ndo tu tukapme na MRDT tena ili kuepusha false +ve.
Kosa lingine la MRDT huwa lajtokeza kwenye WINDOW PERIOD {time delay between antbody nad devlopmnt of antgen} hvyo waweza ambiwa auna malaria kumbe unayo hii yatokea sana ata kwenye HIV rapid test[SD BIOLINE,UN GOLD,DETERMINE,} hizi nazo zaweza Result ya uongo,,,!!!
Hivyo ushauri wangu kwenu wana JF ni better ukpma kwakutumia microscopy.
Nawasilisha