Kipimo cha Malaria cha MRDT: Gharama halisi ni ipi? Kina kasoro zozote?

Kwa technicians wa tanzania, mrdt is the answer, Vipi sijaona anaeongelea kuhusu ACRIDINE ORANGE au QBC?
 
Tanzania tuna wataalam tofauti sana katika mambo mengi
 
Hicho kipimo hata sitaki kukisikia, mara mbili kimetoa majibu ya uongo na chupuchupu nimpoteze mwanangu...!
 
Hicho kipimo hata sitaki kukisikia, mara mbili kimetoa majibu ya uongo na chupuchupu nimpoteze mwanangu...!
Majibu ya uongo una maanisha nn!? Wakati WHO wamekpitisha pamoja na wizara ya afya..!?
 
Majibu ya uongo una maanisha nn!? Wakati WHO wamekpitisha pamoja na wizara ya afya..!?
Nimepimwa nikakutwa sina malaria lakini after 1 day nikazidiwa kupimwa nikakutwa na malaria kali, nikalazwa hospital siku 5 na kupigwa dozi za kwinini. Juzijuzi binti yangu kapandisha homa kupimwa na hicho kipimo kakutwa hana malaria zaidi ya UTI, kupewa tiba ya UTI lakini hali ikazidi kubadilika. Kwenda hospital nyingine ndio akakutwa na malaria na kulazwa.........hapo nitakiaminije hicho kipimo???? May be hao lab technician ndio hawana utaalamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…