Aisee wataalamu wa afya habari za saa hizi.
Nimeenda zahanati kupima malaria leo lakini wamenitoboa mara nne damu inakataa kurun kwenye hicho kipimo hadi ikabidi nikapime kwenye kipimo cha zamani cha microscope. Naombeni msaada wa kitaalamu kama inawezekana tatizo lipo kwenye damu yangu au ni vipi.