mi nataka laki tatu tu kwa sasa ni pm nikupe no unitumie kwa tigo pesa our jf sponsor sijui naona bango lao

Usisahau kumpa zoezi la sim,mwambie akupe simu yake ukae nayo siku mbili!

ahahahahahhaaaaaaaaaaaaa!..mimi sina simu bana,...labda ataninunulia siku hiyo
umeona eeh?

Unatafuta sababu ya kumnyima hiyo simu!!

Unatafuta sababu ya kumnyima hiyo simu!!
umeona eeh?
umeona eeh?
poa unatuma saa ngapi? unatuma dola au tsh?ntakupa laki 3,....utanipa cm basi
haaah haaah mkuu haya bana nitajitahid niongeze chanel za kudaka mikwanja mirefu.sio uoga mkuu_ni mambo ya taadhari tu hayo,..unajua unavyoishi kwenye nyumba ya vioo usianzishe ugonvi wa mawe,...wakinuna hawana mchezo hao,....nafikiri bado hauko sahihi kuhusu suala la mapenzi kua upendo ni hela bana,...subiri utayaona ukikosa hela shemeji atakavyo respond
inabidi unipe cm kwanza,...iniwezeshe kumake deal ya mil kama 8 hivi halafu ntakutumia kwa tigo pesa.poa unatuma saa ngapi? unatuma dola au tsh?
Na tape measure piaBasi tumia FUTI KAMBA kama mizani hutaki!!