Willy NGOMA
JF-Expert Member
- Feb 25, 2016
- 4,508
- 5,981
Kwa maana, mtu anaetumia Kw 5 kwa siku, kwa muda wa miaka karibia minne ndo atakuwa ametumia Megawatt moja!!5 MW ni 5000 KW. Ukizalisha kwa saa ni 5000 Kwh. Bei ya Kwh moja ni Tsh 350. So 5 MW ni 5000x350 ni 1.75m tsh. Kwa siku ni 1.75mx24 sawa na 42m kwa siku. Kwa mwezi ni 42 mx30 sawa ma Tsh 1.26 bilioni
Ndiyo,nafahamu mkuu. Lengo langu lilikuwa nijue, unit hiyo, umeme huo unaweza kutumiwa kwa muda gani, na una ukubwa gani. Kwa sababu nimekuwa nikiona matangazo kwamba nchi imeongeza Megawatt kama 25, mi naona ni kitu kidogo sana, lakini wanaotangaza ni kama ni kitu cha ajabu sana, ndo nikataka kuelezwa hasa.Hyo ni unit kama ilivyo kw, ama gigawtt
vipi umemuelewa5 MW ni 5000 KW. Ukizalisha kwa saa ni 5000 Kwh. Bei ya Kwh moja ni Tsh 350. So 5 MW ni 5000x350 ni 1.75m tsh. Kwa siku ni 1.75mx24 sawa na 42m kwa siku. Kwa mwezi ni 42 mx30 sawa ma Tsh 1.26 bilioni
Mega 1 = 1,000,000 hMega = Million
5MW = 5,000,000 Watts