Kipimo cha Mimba

Kipimo cha Mimba

TZ boy

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2012
Posts
629
Reaction score
183
Hivi jamani kunakipimo cha kupima mimba cha siku tisa au nakuendelea naomba mnijuze?
 
Vinauzwa kwenye maduka ya dawa buku sijui buku mbili..but kinaonyesha kuanzia two weeks kama sikosei!.
 
Hivi jamani kunakipimo cha kupima mimba cha siku tisa au nakuendelea naomba mnijuze?

bila kumung'unya maneno "ushampiga mtu chini halafu kavimba juu..."
 
Back
Top Bottom