greater than
JF-Expert Member
- Sep 22, 2018
- 1,653
- 3,060
Je, kuna ukweli wowote kwamba;
- Ukiona fani ina Idadi kubwa ya wanafunzi wa kiume kuliko wa kike basi jua hiyo fani ni ngumu?
- Ukiona fani ina Idadi kubwa ya Wanafunzi wa kike, basi jua iyo fani ni nyepesi?
- Je, nadharia hizo ni kweli hadi makazini?