Kipimo cha Ujauzito: Jibu sahihi ni lipi hapa?

Guys mko poa??? nimeona nilete feedback ya jibu la uzi huu...baada ya kuomba mawazo yenu ile siku hatimae leo nimeenda hospital kupima na namshukuru mungu majibu yamekuja POSITIVE. Ahsanteni

Hongera sana na Mungu akitunze hicho kiumbe na kikifika wakati wake kitoke bila shida yoyote na akupe nguvu ya kustahimili yote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…