Mashaka yake ni kwamba alishaambiwa kwamba akipiga ultrasound kabla ya wiki 8 kuendelea mtoto atazaliwa na matatizo sasa sijui kama kuna ukweli hapoMashaka yapi Mkuu? Kwamba ultrasound sio kipimo sahihi au haamini majibu?
Habari wapendwa , naombeni msaada wa mawazo kuna mdg angu alifanyiwa ultrasound mimba ikiwa na wiki 7 je hii ni sahihi? Maana anamashaka na hili
Ahsante sana mkuu, nimekupata vilivyo.. Hapo sasa na mimi nimeelewaUltrasound ni kipimo kizuri sana kufanyika wakati wa Trimester ya kwanza(0-12 weeks) atleast kuanzia 5 weeks pale ambako gestational sac inakua inaoneakana ili hata mtu ambae hayuko makini hasiweze kui miss na ku miscalculate ukubwa wa mimba.
Mimba kubwa zaidi ya miezi mitatu/12 wks ukifanya ultrasound most of the time yanakua makadirio na sio umri halisi wa mimba.
Ikumbukwe RCH card za Tanzania na watabibu wengi wanaamini sana ule mwezi wako wa mwisho kuona hedhi more specifically ile tarehe damu ilipoanza kutoka.
Ultrasound isiwe njia namba moja ya kujua umri wa mimba wakati tarehe ya hedhi ipo,ultrasound itumike ku monitor ukuaji wa mimba na mtoto ili kama kuna hitilafu kwa mimba iweze kutambulika mapema na njia salama ya kujifungua ichaguliwe.
Kwa wale ambao labda walipata mvurugiko wa hedhi hapo katikati na wakajikuta wana mimba basi iwe njia namba moja ya kujua umri wa mimba. na hiyo Ultrasound iwe katika miezi mitatu ya mwanzo.
Inahauriwa kama una uwezo walau kila trimester ufanye ultrasound moja na kama hauna uwezo kabisa basi ile miezi mitatu ya mwisho/ 3rd trimester walau ufanye ultrasound maana hii ndo itakayo determine njia yako ya kujifungua iwapo kutakuwepo na shida ilobainika kwa mimba kiujumla wake.
mwisho kabisa nafikiri inabidi kutafutwe neno la kiswahili la Ultrasound maana observation yangu wanawake wengi hawawezi kutamka neno Ultrasound wengi huishia kusema Neutrasaundi.
hivo Baraza la kiswahili wasaidie katika hili kwa kweli au kama lipo lianze kutumika mahospitali kwa wahudumu wa afya na tuwaondole kadhia mama zetu ya kutamka maneno ya kigeni na kuyishia kutia aibu.
sio kweliMashaka yake ni kwamba alishaambiwa kwamba akipiga ultrasound kabla ya wiki 8 kuendelea mtoto atazaliwa na matatizo sasa sijui kama kuna ukweli hapo
[emoji122][emoji122][emoji122]Ultrasound ni kipimo kizuri sana kufanyika wakati wa Trimester ya kwanza(0-12 weeks) atleast kuanzia 5 weeks pale ambako gestational sac inakua inaoneakana ili hata mtu ambae hayuko makini hasiweze kui miss na ku miscalculate ukubwa wa mimba.