GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Akikubali kwenda South Africa au Uarabuni ambako atalipwa kati ya Tsh Milioni 70 hadi 85 za Kitanzania kwa Mwezi nitamuona ana Akili ( Kipanga )
Akikubali kubakia Yanga SC kwa Mshahara wa Tsh Milioni 30 au Milioni 35 kwa Mwezi aliyowekewa pamoja na Jimama lake Jipya la Magomeni ( Mfanyabiashara na Danga la Boss Mmoja CCM Makao ) si tu Nitamdharau bali nitamwona ni Mpumbavu ( Popoma ) aliyetukuka.
Na nasikia pia Anarogwa asiondoke.