GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Alikwambia anataka maoni yako?Akikubali kwenda South Africa au Uarabuni ambako atalipwa kati ya Tsh Milioni 70 hadi 85 za Kitanzania kwa Mwezi nitamuona ana Akili ( Kipanga )
Akikubali kubakia Yanga SC kwa Mshahara wa Tsh Milioni 30 au Milioni 35 kwa Mwezi aliyowekewa pamoja na Jimama lake Jipya la Magomeni ( Mfanyabiashara na Danga la Boss Mmoja CCM Makao ) si tu Nitamdharau bali nitamwona ni Mpumbavu ( Popoma ) aliyetukuka.
Na nasikia pia Anarogwa asiondoke.
Ntibazonkiza ana miaka 49 nayele 30 discussUmeshindwa kumshauri Ntibazokiza kwenda mpaka abaki Simba na mshahara wa 8m?
Mwenda ana 20 kapombe ana 30+ DiscusNtibazonkiza ana miaka 49 nayele 30 discuss
tatizo kwenye historia ya makuzi ya binaadamu,maamuzi ya kupuuzi ni sehemu ta maisha hata kwa wasomi waliobobea kwenye elimuAkikubali kwenda South Africa au Uarabuni ambako atalipwa kati ya Tsh Milioni 70 hadi 85 za Kitanzania kwa Mwezi nitamuona ana Akili ( Kipanga )
Akikubali kubakia Yanga SC kwa Mshahara wa Tsh Milioni 30 au Milioni 35 kwa Mwezi aliyowekewa pamoja na Jimama lake Jipya la Magomeni ( Mfanyabiashara na Danga la Boss Mmoja CCM Makao ) si tu Nitamdharau bali nitamwona ni Mpumbavu ( Popoma ) aliyetukuka.
Na nasikia pia Anarogwa asiondoke.
amini.comHizi taarifa umezitoa wapi!
Kawekewa 35 mil kaikataa,huyo mchakuku ni kibaraka wa gsm,jamaa ana offer kwenye klabu kubwa hawezi kubaki utopolo,never.Mbna niliona Page ya Castor news, Mayele kasha saini 2yrs kubaki yanga na kwa mwezi atapokea 30M. Ko ilikua uongo au??
Hata bi mkuwa wako nae hana akili aliganda kwa mshua wako ambae alikuwa anampa mahindi ya bisi tu angejiendea kwa mengi kujilegezaAkikubali kwenda South Africa au Uarabuni ambako atalipwa kati ya Tsh Milioni 70 hadi 85 za Kitanzania kwa Mwezi nitamuona ana Akili ( Kipanga )