Mbona watu wanajipima kisukari hawajinyongi?tuache tuache mawazo hasiUkijipima mwenyewe ukajinyonga?
Au ukimpima mtu akaenda kufanya maamuzi ya kujiua kisa tu amegundua ana HIV?
Suala sio vipimo bali taratibu za upimaji unazingatiwa hadi kupata majibu?
Asante kwa muongozo MkuuMkuu, nenda kwenye hospitali/kituo cha afya/zahanati wanaotoa huduma za tiba na matunzo (CTC) watakupatia jipime. Kwa sasa ziko za kutumia sampuli za kinywa (oral based ST) na za kutumia damu (blood based ST)
ANGALIZO:
Vipimo hivi vitumika kama 'screening tool' hivyo kuhakiki majibu yako lazima ufike hospitali/kituo cha afya /zahanati wataalam wakupime kwa bioline
Kinatolewa bure,na unaelekezwa namna ya kutumia na utatakiwa kurudisha majibu baada ya kujipimaWanauza huko au wanatoa bure?