Kipimo kinacho tumika kupima fertility ya mwanamke

Babu sea

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2013
Posts
953
Reaction score
747
Kama ilivyo kwa wanaume kuna kipimo cha spem count je kwa wanawake hicho kipimo kinaitwaje? naomba usiriaz katika hili kwa sababu ni muhim sana.
 
Kinaitwa ovolution pregnant kit (opk)
mkuu jonas nashkurusana kwa taarifa ningependa kukuuliza swali dogo kama ifwatavyo;je kipimo hicho kinapatikana hata hospitali za wilaya? Na swali la nyongeza je nitakipata wap kama hakipatikani hospitali ya kata.
 
Just shake beffore use you will know whether she is fertile or not.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…