sasa kama kazi yangu ni ukachero nitamwachia mama kayaiii kweli simu yangu? akisoma yasiyosomeka?Kwa wale wapenzi nataka utumie mizani hii ndani ya weekend hii ili kujua uaminifu,CHUKUA SIMU YAKO MPE MKEO AMA MPENZI NA YEYE AKUPE YAKE NA UMILIKI UANZE LEO HADI KESHO JIONI.je unaweza kufanya hivyo kwa mwenza wako angalau kwa leo,na kama haiwezekani wewe ci mwaminifu ni wwww,kicheche.com.
Si kipimo sahihi sana, wako vicheche waliobobea ambao huwa na simu za mkononi ambazo huziacha ofcn, na vicheche wenzake wote huwapa kwa namba hizo za simu za ofcn, Pia namna ya jinsi ya kuwasiliana ni ngumu mtu wa katikati kuelewa mienendo yao hata kidogo; wako smart sana huwezi kuwapata kirahisi ....
Kwa wale wapenzi nataka utumie mizani hii ndani ya weekend hii ili kujua uaminifu,CHUKUA SIMU YAKO MPE MKEO AMA MPENZI NA YEYE AKUPE YAKE NA UMILIKI UANZE LEO HADI KESHO JIONI.je unaweza kufanya hivyo kwa mwenza wako angalau kwa leo,na kama haiwezekani wewe ci mwaminifu ni wwww,kicheche.com.
mKUU IMENITOKEA LEO. nimeenda na ya wife kazini naye amekwenda na yangu. Lkn kwa kuwa sina hizo issue wala cna wasiwasiKwa wale wapenzi nataka utumie mizani hii ndani ya weekend hii ili kujua uaminifu,CHUKUA SIMU YAKO MPE MKEO AMA MPENZI NA YEYE AKUPE YAKE NA UMILIKI UANZE LEO HADI KESHO JIONI.je unaweza kufanya hivyo kwa mwenza wako angalau kwa leo,na kama haiwezekani wewe ci mwaminifu ni wwww,kicheche.com.