Kipimo kizuri cha uaminifu hiki hapa

Kwangu mimi baada ya masaa mawili tu ndoa imevunjika.
 
Duh!! We unataka kuvunja ndoa zetu eeh?
Anayosema ni kweli bana! yaani watu mnamilikishana mpaka nyuchi zenu iweje simu? hata mimi mtu anaembinyia mwenza wake asicheze na simu yake simwelewi.
 
Anayosema ni kweli bana! yaani watu mnamilikishana mpaka nyuchi zenu iweje simu? hata mimi mtu anaembinyia mwenza wake asicheze na simu yake simwelewi.

lawyer mbona unaongea matusi. Ila mi siwezi kuchukua simu yake aisee.
 
Hapana hapana nooooo,huu ni ujinga,simu yake iendelee kuwa yake na yakwangu iendelee kuwa yangu,thats all bout me,kama ukicheche ataufanya hata bila simu na mimi vile vile!!!
 
haaaaa weee hujui wengine hatuna wikend wala dayoff,nikuachie simu iweje?
 
lawyer mbona unaongea matusi. Ila mi siwezi kuchukua simu yake aisee.
Nilitafta neno jengine skupata nikaona acha nilipue hilo hilo la real, unajua suala sio kuchukua simu yake suala ni kujenga mazingira ya kuondosha wasiwasi kwenye mahusiano. Unapomkatalia mwenza wako simu tayari unaindicate mazingira ya wasiwasi, na maisha ya wasiwasi ndio sumu ya ndoa.
 
ndio najua hutakiwi kuficha ficha simu yako ili kuepusha wasiwasi. Mimi sikuwa na mazoea ya kupekua pekuwa simu, kuna siku nilishika ile simu bht mbaya ila niliyoyakuta humo!! Uwiiiii.....!!!
 
ndio najua hutakiwi kuficha ficha simu yako ili kuepusha wasiwasi. Mimi sikuwa na mazoea ya kupekua pekuwa simu, kuna siku nilishika ile simu bht mbaya ila niliyoyakuta humo!! Uwiiiii.....!!!
Mimi huwa najiuliza, hivi kwanini ufanye mambo yako kupitia simu yako ambayo mpaka mwenza wako anaielewa? hivi hizi ni akili kweli? nadhani wengi wetu hatutathmini athari za simu kabla kugawa namba kwa watu ndio maana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…