Sina huwakika katika hili mana buffer syo important ki ivyo kwenye rapid water b'coz you can uz distled water,filted rain water or glcerol insted of buffer water.Atakuwa alikosa buffer inayotumika kwenye kipimo cha UN -GOLD ili kuconfirm majibu.
Sina huwakika katika hili mana buffer syo important ki ivyo kwenye rapid water b'coz you can uz distled water,filted rain water or glcerol insted of buffer water.
Yeyote alie soma medical hii ni njia mbadala ambayo kila mahali utaitumia ili ku avoid acidity&allality.Wangapi wanajua kuwa unaweza tumia distled water.
Atakuwa alikosa buffer inayotumika kwenye kipimo cha UN -GOLD ili kuconfirm majibu.
Hii kitu ninayo ndani inatoa majibu faster.... Haidanganyi aiseee
Mh,ndo maana siviaminiagi hivi vipimo vya wabongo.
kuna jamaa walipeleka maji ya mchaimchai kwa labaratory technician mmoja mpenda rushwa kumtest wakidai mkojo.
majibu yakaja eti ya UTI na kichocho.
bora huyo nduguyo mpeleka nairobi akapime,wabongo usanii full full.