KIPIMO!!!

KIPIMO!!!

Red Scorpion

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2012
Posts
5,736
Reaction score
4,252
Njia za kujua kama umri umekwenda:[emoji12] [emoji12] [emoji12]

1. Ikiwa unafikiri ya kwamba 208 ni mia mbili na nane, bac jua umri umekwenda. Hiyo ni TUONANE

2. Kama unadhani 10Q ni kumiQ, basi unazeeka, hii ni THANK YOU.

3. Kama unafikiri 24gt ni ishirini na nne gt basi uko klabu ya wazee. Hiyo ni TO FORGET

4. Kama unadhani 21002 ni elf ishirini na moja na mbili, bas umekula chumvi, hii ni TUMIA TU.

5. Na ukiona leo ndio mara ya kwanza kuyasikia hayo maneno tafuta mkongojo haraka uanze kutumia........?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87]
 
[emoji13] [emoji13] mistaki bwana..... ww dogo noumaaaa umeiiba wapi hi?
 
mkongojo sijui wanauza wapi nikanunue na ile kitu kama ya shisha ila inakua ya mti, babu alikua anaita kiko, ukiona pia na kile kiti chenye turubai katikati nistue
 
Njia za kujua kama umri umekwenda:[emoji12] [emoji12] [emoji12]

1. Ikiwa unafikiri ya kwamba 208 ni mia mbili na nane, bac jua umri umekwenda. Hiyo ni TUONANE

2. Kama unadhani 10Q ni kumiQ, basi unazeeka, hii ni THANK YOU.

3. Kama unafikiri 24gt ni ishirini na nne gt basi uko klabu ya wazee. Hiyo ni TO FORGET

4. Kama unadhani 21002 ni elf ishirini na moja na mbili, bas umekula chumvi, hii ni TUMIA TU.

5. Na ukiona leo ndio mara ya kwanza kuyasikia hayo maneno tafuta mkongojo haraka uanze kutumia........?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87]
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Maji yame brother hundred kwenye maharage
 
Back
Top Bottom