Bado mnaangali startv hasa kipindi Kama hiki? Mna moyo aisee.
Media zote zimeshikwa kalio zikiinama nchale' zikikenua 'nchale' usitegemee utakuta story zitakuwa balanced
Diwani mstaafu kachezea spana balaa πππ. Halafu jamaa wa chadema katumia fursa akiwa live kwenye Tv kutangaza Lissu anatua Mwanza kesho.Mkuu niwe fair kwa huyo Aloyce Nyanda, huwa anajitahidi kubalance habari za wapinzani, najua hawezi kabisa maana mazingira sio rafiki, na wote hili tunalijua. Wangalau Star Tv ndio huwa wanawaalika wapinzani. Usiku huu kwenye hicho kipindi kulikuwa na diwani wa ccm mstaafu, na katibu wa Cdm kanda ya ziwa kama sikosei. Mjadala ulikuwa moto, ila katika hali ya kushangaza na niliyoitarajia, kipindi hicho kimekatingiza matangazo yake ghafla!
Hayo ndio mazingira ya vyombo vya habari. Huenda Nyanda au huyo katibu wa Cdm akatoa ufafanuzi wa kilichotokea.
cc: Paskali Mayalla
Mkuu niwe fair kwa huyo Aloyce Nyanda, huwa anajitahidi kubalance habari za wapinzani, najua hawezi kabisa maana mazingira sio rafiki, na wote hili tunalijua. Wangalau Star Tv ndio huwa wanawaalika wapinzani. Usiku huu kwenye hicho kipindi kulikuwa na diwani wa ccm mstaafu, na katibu wa Cdm kanda ya ziwa kama sikosei. Mjadala ulikuwa moto, ila katika hali ya kushangaza na niliyoitarajia, kipindi hicho kimekatingiza matangazo yake ghafla!
Hayo ndio mazingira ya vyombo vya habari. Huenda Nyanda au huyo katibu wa Cdm akatoa ufafanuzi wa kilichotokea.
cc: Paskali Mayalla
Hahahaaa hata mimi ile nimeikubali...Diwani mstaafu kachezea spana balaa [emoji23][emoji23][emoji23]. Halafu jamaa wa chadema katumia fursa akiwa live kwenye Tv kutangaza Lissu anatua Mwanza kesho.
Lini Lissu Anakuja Kagera?(wenye ratiba tupeni majibu)
π. Yaani wakati jamaa wanaendelea kutiana spana. Nyanda alikuwa anageukageuka halafu sura yake kama anapokea maelekezo kutoka nyuma ya Camera. Mara ghafla sura ikaanza kuvimba hivi kama mtu anayetaka kulia. Mara ghafla akasema kuna tangazo ndio ikawa mazima hiyo. Ikaja documentary sijui ya nchi gani huko barabara mbovuuuu magari ya mahindra. Kipindi kikayeyuka. ππHahahaaa hata mimi ile nimeikubali...
Yawezekana simu kutoka juu imehusika, ndio maana matangazo yalikatika njiani...
Hili ndiyo limeniboa mm. Maana nikaona mtangazaji anambeba huyo mwenye makaratasi feki azidi kumwaga umbea wakeπ jamaa kaja studio na makaratasi ya lawama kumbe makaratasi ya fidia ya kubomolewa nyumba.
Nilicheka mno
πππππππ
Aaaah! Hii ndiyo taabu yenyewe. Duuh!Baada ya hapo matangazo yakakatika.ππ
Itakuwa jiwe kasikia yule katibu wa Kanda akitumia fursa kutangaza mkutano wa Lisu Mwanza hapo kesho. Jiwe amefura balaaπ. Yaani wakati jamaa wanaendelea kutiana spana. Nyanda alikuwa anageukageuka halafu sura yake kama anapokea maelekezo kutoka nyuma ya Camera. Mara ghafla sura ikaanza kuvimba hivi kama mtu anayetaka kulia. Mara ghafla akasema kuna tangazo ndio ikawa mazima hiyo. Ikaja documentary sijui ya nchi gani huko barabara mbovuuuu magari ya mahindra. Kipindi kikayeyuka. ππ
Nilidhani karatasi zina bonge moja la ushahidi. Tena mzito balaa. Kumbe ni fidia ya nyumba iliyobomolewa Kakola mwaka 1996 ππ aisee ningekuwa mtangazaji ningecheka hapo hapo studio. Halafu jamaa anavyojiamini anasema ametunza ushahidi wa miaka zaidi ya 20 na kasisitiza wasome na ya pili. Kusoma karatasi ya pili na yenyewe ni watu waliobomolewa nyumba zao na mgodi miaka hiyooo. ππHili ndiyo limeniboa mm. Maana nikaona mtangazaji anambeba huyo mwenye makaratasi feki azidi kumwaga umbea wake