Akilindogosana
JF-Expert Member
- Jan 12, 2020
- 4,303
- 12,679
Nahisi hiki ndio chanzo cha matatizo. Na startv inavyoangaliwa mwanza yaani ujumbe umefika haraka mno.Itakuwa jiwe kasikia yule katibu wa Kanda akitumia fursa kutangaza mkutano wa Lisu Mwanza hapo kesho. Jiwe amefura balaa
Hata mm nikajua leo sasa Lisu anachafuka.Nilidhani karatasi zina bonge moja la ushahidi.
😂Hata mm nikajua leo sasa Lisu anachafuka.
Nyomi ya kesho ya wana-Mwanza kumpaki Lisu itakuwa siyo ya sayari hii.Nahisi hiki ndio chanzo cha matatizo. Na startv inavyoangaliwa mwanza yaani ujumbe umefika haraka mno.
Star Tv wana android au IOS app?Nyomi ya kesho ya wana-Mwanza kumpaki Lisu itakuwa siyo ya sayari hii.
Ninahisi RPC Muliro atakua kashapigiwa simu nzito mpaka sasa.Nyomi ya kesho ya wana-Mwanza kumpaki Lisu itakuwa siyo ya sayari hii.
Bora umeng'amua,mi huwa simwangalii tena.Nikimaliza kuangalia bbc nahama chanel fasterWapendwa kuna hiki kipindi kinaitwa Ajenda 2020 kinachorushwa kila Jumatatu saa tatu na nusu usiku Startv.
Naona mtangazaji wake aitwaye Alloyce Nyanda anatumika na ccm au yeye mwenyewe anajipendekeza CCM.
Nimekuwa nikimfuatilia kwa kiasi kipindi chake hiki. Nilichokigundua ni kwamba amekuwa akiwachomekea hoja mfu wapinzani ktk kipindi chake halafu anatoa muda mrefu kwa mgeni ambaye ni mwanaccm ili apate kuziponda na kuzizodoa hoja hizo huku na yeye akimsapoti mwanaccm.
Kwa maoni yangu, kukosekana kwa weledi huko watangazaji wa kibongo wa enzi hizi wataendele kupakaa poda tu usoni lkn hawatakuwa mahiri duniani.
Wamejaa utoto na kujipendekeza kwa serikali kulikopiitiliza na hivyo kuifanya fani hii ikose heshima yake.
Katika kipindi hiki cha kampeni nashauri wapige marufuku viongozi wao kuhudhuria mijadala yoyote inayoendeshwa na kipindi hiki.
Kada yuleWapendwa kuna hiki kipindi kinaitwa Ajenda 2020 kinachorushwa kila Jumatatu saa tatu na nusu usiku Startv.