Kipindi cha balehe yako kituko kipi ukikumbuka huwa unacheka?

Duu! Balehe zinasumbua ila zako zimezidi. Mimi nakumbuka niliwahi fungiwa kanga na msichana nkatoka kama demu jioni baada ya kuogopa kutoka. Niliwahi wekwa uvungini na msichana baada bibi kutukuta mchana, Nliwahi Shinda usiku kucha namuwinda mke wa mtu Kesho yake saa sita ndo nkaja kuchezea mapaja yake.


Hayo ni machache katika mengi kibao balehe ni kero japo mpaka sasa hizo tabia zinanisumbua maana tabia ilikuwa kama ya Ferooz hadi msichana unamfanyia raund ya pili ukiwa umesahau kwamba uliwahi mtongoza. Yaani tongoza tongoza ilikuwa kama ya beberu
 
AISEEEEEEEE
 
Eti unamtongoza dem mara mbili hahaaa aisee
 
Nilitaka kufanya kitu cha kijinga kipumbavu na Cha kishenzi Mpaka leo nkikumbuka Najuta japo kua sikukifanya,. Kwa umri ule niliokua nao sijui uko jera ningeishije.?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…