Kipindi cha Extreme Make over home edition

Nukta5

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2014
Posts
1,182
Reaction score
1,288
Ndugu wadau mimi ni mpenzi wa TV 1 hasa kwenye kipindi tajwa hapo juu huwa nakipenda sana japo kinaonyesha ni cha muda mrefu huwa nikiangalia napata maswali sana moja ya swali ni Yule kiongoz wa ile team ya ujenzi (TY Pelinngton) huwa anafaidika nini akiwasaidia watu kujenga nyumba na hiyo kampuni yake inapataje faida.
Nawasilisha.
 

Watu wanajitangaza mkuu...sponsorship za kutosha...hakuna hasara..ni win/win situation. .
Kwa info zaidi Google extreme makeover home edition(Wikipedia)..pia kina video nyingi sana za hiki kipindi youtube. ..
 
Na kile cha paradise cha Irene Uwoya Clouds tv bado kipo?


Sent from my iPad
 
TYTA hapo juu amemaliza kila kitu.

Sikuwahi kubahatika kuuona UZI huu.

Ahsante sana Kiongozi
 
Hiki Kipindi kilikuwa Murua sana.

Kwa kweli nilikuwa mfuatiliaji mzuri sana wa hiki Kipindi.

Ni moja ya Vipindi vya Luninga ninavyovikubali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…