Sikonge
JF-Expert Member
- Jan 19, 2008
- 11,584
- 6,136
Miaka ileee, kulikuwa na kipindi cha From Me To You. Nimeona tujikumbushe na baadhi ya miziki iliyokuwa ikipigwa enzi hizo kwenye hiyo idhaa ya FM. Nakumbuka walioanza kuja na redio nzuri zenye kudaka FM (By the time ni akina technics, Sansui, JVC etc) basi ilikuwa unaifaidi hii miziki kama vile unatumia CD kwa leo.
Ila kwa kuanzia, nimeona niweke hawa akina mama wenye sauti zao. Mwanzo nilikuwa nafahamu wimbo wa "Stay in my corner by Patti Labelle" kuwa ndiyo wenye longest note. Yaani huyu mama anavuta sauti hadi unafikiri ni kifaa. Ila nimekuja kusikia kuwa kumbe kuna waliokuwa wakimzidi. Hebu wasikilize na wewe uamuwe ni yupi wamvulia kofia.
Nasikia huwa kuna ufundi wa kuimba na kupumua. Sijui kukoje huko.....
[ame]http://www.youtube.com/watch?v=Bxh0_tD40A8[/ame]
[ame]http://www.youtube.com/watch?v=H_jnASqj3xk&feature=related[/ame]
Kurudi kwenye kichwa cha habari, nianze kwa wimbo huu niupendao sana sana maana huyu mama Gladys na kisauti chake kama kinakwaruza kwa kweli huwa kinanimaliza sana sana.....
[ame]http://www.youtube.com/watch?v=EE9KT_dU_R8[/ame]