Sister Abigail
JF-Expert Member
- Sep 2, 2020
- 2,886
- 9,088
Nimekutana na kipindi kinarushwa kwenye TV, mtangazaji ni Mc Garab, Lulu Diva na wengine.
Wale washiriki wanapatikanaaje? Je, ni bure mrembo unajitokeza tu, na inakuaje mpaka wadada wazuri vile wanafikia hatua ile?
Inaleta picha gani wadada wanamlilia mwanaume fulani anaejitokeza, na bado wanatafuta mwingine analiona hilo?
Na kuhusu wanaume wanaojiopolea vimwana[emoji16], huwa wanafanyiwa kitu wafike stage nyingine ama ukiopoa ushaopoa mtaelewana mbele?
Mi sijui jamani wanaojua wanijuze.