Kipindi cha "In My Shoes" cha Wema Sepetu

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304



Baada ya ukimya kutawala kwenye TV station kwa juma la pili maswali mengi yameulizwa na wadau wa kipindi cha ‘In My Shoes’ ambacho kilikuwa kinaonyesha uhalisia wa Maisha ya Wema Sepetu na kurushwa na kituo cha EATV.

Ukimya huo ulizua taswira kwa fans wa Wema Sepetu na kutaka kujua kulikoni kipindi kutokuwepo hewani kuwa amefulia au la? Bk iliamua kuzungumza na Maneger wa Wema, Martin Kadinda ili kuelezea juu ya sababu zinazofanya kipindi hicho kuto uonekana.
” Haaaaaa wapi wewe nani kasema, Wema hajafulia wewe unaona kuna mtu wa kufulia pale? ni kwamba mkataba ambao Wema alikuwa amesaini na EATV umeisha mpaka baada ya miezi mitatu ndipo kipindi kitarudi tena hewani.”
BK: liliendelea kumtwanga maswali Martin kuwa labda kwa sasa Wema anazichangachanga kwanza then arudi tena baada ya mshiko kuwa poa?
“Hapana Wema wakati anasaini mkataba alikuwa anajua kuwa kuna kipindi ambacho kinatakiwa kuanza mwezi wa nne ambacho ndicho hicho kilichochukua nafasi ya ‘In My Shoes’ lakini kipindi cha ‘The Baloziz’ kinatarajiwa kuisha baada ya miezi mitatu ndipo Wema atakapo rudi tena.” Martin
 
ila kpindi anashindwaga kuweka mtiriko mzur unakuta kpindi kizma tukio moja angekuwa anatafta wa kumuandikia kama script ili kiwe na matukio meng
 
ila kpindi anashindwaga kuweka mtiriko mzur unakuta kpindi kizma tukio moja angekuwa anatafta wa kumuandikia kama script ili kiwe na matukio meng
kipindi kizima ye ni kuparty tuuu huyo bola atengeneze movie ya eksi tu apate watazamaji wengi
 
Nilikuwa na kiangalia you tube tu coz sina access ya eatv home. Nlidhan amesahau kurusha youtube kumbe hakirushwi sikuiz
 
EATV madini hapa Bongo...kila mtu anataka kurusha program yake pale...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…