Kipindi cha "Jahazi" cha Clouds FM kiongezewe muda

Kipindi cha "Jahazi" cha Clouds FM kiongezewe muda

Katkit

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2023
Posts
1,893
Reaction score
4,641
Kwenu wadau...

Kile kipindi cha ule utatu (Bantu, Gadner na Musa) kiukweli wamekipunja muda. Wale walevi wanafanya poa sana kudadeki zao, masaa 2 hayawatoshi kabisa. Uongozi wa CMG ulifanyie kazi hili suala.

Wassalaam!
 
Back
Top Bottom