Katkit JF-Expert Member Joined Mar 12, 2023 Posts 1,893 Reaction score 4,641 Apr 9, 2023 #1 Kwenu wadau... Kile kipindi cha ule utatu (Bantu, Gadner na Musa) kiukweli wamekipunja muda. Wale walevi wanafanya poa sana kudadeki zao, masaa 2 hayawatoshi kabisa. Uongozi wa CMG ulifanyie kazi hili suala. Wassalaam!
Kwenu wadau... Kile kipindi cha ule utatu (Bantu, Gadner na Musa) kiukweli wamekipunja muda. Wale walevi wanafanya poa sana kudadeki zao, masaa 2 hayawatoshi kabisa. Uongozi wa CMG ulifanyie kazi hili suala. Wassalaam!