Kipindi cha kama tupo kumbe tumekufa

Kipindi cha kama tupo kumbe tumekufa

Radio Producer

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2011
Posts
726
Reaction score
320
Msikilizaji huwezi kuamini kuwa leo hii nimekuandalia mada kambambe ya kutazama na kutema, nikufuatia wanadamu wengi kujiingiza katika masuala ya urembo, majivuno na kuona kama yeye ni binadamu wa chuma amabye hataondoka hapa tambarare! Hebu shusha jicho lako hapo chini ujionee picha hii kuwa nao walikuwa binadamu kama wewe kisha unaruhusiwa kusema chochote! Kukuletea kipindi hiki ni mimi RADIO PRODUCER karibu!

Kwamawasiliano zaidi dondosha hoja yako kwenye PM au radioproducer@rediff.com Asanteni!
 

Attachments

  • maiti.jpg
    maiti.jpg
    64.5 KB · Views: 220
Radio Producer, what are you up to?

Kifo hakiwezi kubali tabia ya binaadamu? Ndiyo maana mnaenda kwenye msiba wa mtu aliyekufa kwa ngoma, usiku huo huo watu wanachapana live hapo hapo msibani!
 
Radio Producer, what are you up to?

Kifo hakiwezi kubali tabia ya binaadamu? Ndiyo maana mnaenda kwenye msiba wa mtu aliyekufa kwa ngoma, usiku huo huo watu wanachapana live hapo hapo msibani!

May this picture will make people sad and they can remember even a bit that death must comes! That is enough:sick:
 
Hawa ni wahanga wa tanker la mafuta lililoripuka kule DRC. RIP.
 
Naona askari wanalinda maiti kwa AK47
 
Back
Top Bottom