Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
View attachment 1720740
Chanjo hamleti basi tupeni vyeti tukishapiga nyungu na sisi tuonyeshe tunavyopigana na COVID.
Anazungumzia “cards” kama zile za Yellow FeverCheti chako ni uhai & kuchapa kazi. Hivi huyu Panya bado anaamini katika elimu ya makaratasi, na wala siyo matokeo!??? Hivi wengine wanakwamaga wapi sijui jamani tena!???
Nyungu muhimbili sio Bure. Unapiga kwa gharama ya Tsh 5,000 nadhan.nyungu ni kielelezo cha ufinyu wa fikra tulio nao watanzania, Mama Gwajima awe held responsible for causing loss of life,kuweka nyungu kutawapa wananchi false hopes wakiumwa waende kupiga nyunguzii Muhimbili ambayo ni bure,,haisaidii
Nyungu muhimbili sio Bure. Unapiga kwa gharama ya Tsh 5,000 nadhan.
Bure ni kule Geita alikowajengea nyungu(Sauna) wapiga kura wake
Mimi bado nakula mananasi na tangawizi miksa vitunguu swaumu limao. Nasubiria mbunge wangu atujengee nyungu ya bure na sisi
Nimekuelewa sasa.....ni kweli ni Bure kabisa hakuna kitu palehujanielewa nimesema bure kwamba haisaidii kutibu corona, good luck piga nyunguzzzz zako hata kutwa mara tatu..
Nyungu ikithibitishwa na WHO nitaipiga.
Mkuu kwa hili bandiko, sina shaka kama wewe ndo unakwama! Si unajua bandiko linaongea mengi kuliko mdomo?Cheti chako ni uhai & kuchapa kazi. Hivi huyu Panya bado anaamini katika elimu ya makaratasi, na wala siyo matokeo!??? Hivi wengine wanakwamaga wapi sijui jamani tena!???
Hivi limbwata limethitishwa na WHO? Ni kaswali tu kamenijiaNyungu ikithibitishwa na WHO nitaipiga.