1. Ni salama kwa sasa kwako kubeba mimba. So go ahead and make that beautiful baby.
2. Kuzaa kwa operation ni hatari zaidi kwako kuliko kuzaa kwa njia ya kawaida. Iwapo hakuna sababu ya kitaalamu ni vema ukazaa kwa njia ya kawaida.
3. Kwenye ujauzito kuna tabia ya historia kujirudia. Kama kuna tatizo lolote ulilolipata mara ya kwanza pata ushauri toka kwa daktari jinsi ya kuepuka lisijirudie tena.
Kila la heri...
Maelezo mazuri ZeMarcopolo ila point na.2 sio sahihi . Kuna usemi tunatumia once caesarean section then next delivery must be at hospital, hii ni kutokana na hatari iliyopo wakati wa kujifungua kwani tayari mji wa kizaza (uterus) una kovu litokanalo na operation ya kwanza. Hivyo inategemeana na sababu ya operation ya kwanza ilikuwa nn maana nyingine km njia ndogo (contracted pelvis) lazima atajifungua kwa c/s tena. Hivyo nenda hospital kajadiliane na dokta wako na ni nzuri kama mtaenda na mumeo/mwenza wako.
1. Ni salama kwa sasa kwako kubeba mimba. So go ahead and make that beautiful baby.
2. Kuzaa kwa operation ni hatari zaidi kwako kuliko kuzaa kwa njia ya kawaida. Iwapo hakuna sababu ya kitaalamu ni vema ukazaa kwa njia ya kawaida.
3. Kwenye ujauzito kuna tabia ya historia kujirudia. Kama kuna tatizo lolote ulilolipata mara ya kwanza pata ushauri toka kwa daktari jinsi ya kuepuka lisijirudie tena.
Kila la heri...
Habari wana jf!naomba kuuliza mwaka jana nilijifungua kwa operesheni nikakosa mtoto ilikuwa jan 17 sasa nimetimiza mwaka nina hamu ya mtoto sana kwani sina.lakini sitaki kuzaa kawaida nataka operesheni je muda gani muafaka?naombeni ushauri
Nashukuru sana mliotumia fursa kunishauri.nimekuwa na wasi wasi kuzaa kawaida kwani hata njia ilikuwa haifunguki kipindi hicho mpaka nikafanyiwa caesar!nashukuru xana na pia kuanzia sasa nipo tayari kwa mimba.mana ndo kwanza nna mwaka kwnye ndoa.
ataweza vipi kuzaa kawaida na anaweak scar( 17 jan 2013) mkuu?
Unaweza kubeba ujauzito dada yangu , ila usisubirie mpaka uchungu ukushike ndiyo uende hospitali kwa kovu lako la kizazi bado ni dhaifu halitaweza kuhimili mikikimikiki ya uchungu wa ujauzito.........
wazo lako la kutaka kuza kwa operesheni ni zuri kama utapata mimba mapema iwezekanavyo,,,,,,,,,,,
ukipata ujauzito jadiliana na daktari wako na mpange mipango yako ya kujifungua mapema........
pole sana kwa kupoteza mtoto.
Naomba kuuliza.
Mwanamke ambaye amejifungua kwa C-section mtoto kwa kwanza anaweza kuzaa kawaida mtoto wa pili after 2 years?
1. Ni salama kwa sasa kwako kubeba mimba. So go ahead and make that beautiful baby.
2. Kuzaa kwa operation ni hatari zaidi kwako kuliko kuzaa kwa njia ya kawaida. Iwapo hakuna sababu ya kitaalamu ni vema ukazaa kwa njia ya kawaida.
3. Kwenye ujauzito kuna tabia ya historia kujirudia. Kama kuna tatizo lolote ulilolipata mara ya kwanza pata ushauri toka kwa daktari jinsi ya kuepuka lisijirudie tena.
Kila la heri...
Kama alijifungua kwa operation mwaka mmoja uliopita itambidi asubiri miaka angalau nitatu iti aweza kujifungua kwa njia ya kawaida, otherwise kizazi kinaweza kuchanika