FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Sanene sehemu gani? nna li gari nataka kumpelekea kesho.
Ni jambo jema kama utaalam huu utasambazwa kwa vijana wengi iwezekanavyo, hata VETA waongeze hili somo kwenye mitaalanya ufundi stadi.., itasaidia kupanua wigo wa ajira na kuokoa fedha za kigeni kuagiza taa mpya nje ya nchiHata sinza wapo mbele ya Lion club kama hawajahama
Bila kuwasahau wale wa TRA, hii nchi sio kwamba inashindikana kuemdelea, bali tumejiwekea mtego wenyewe wa kuuwa kila kinachotaka kukua na kukimaliza kabisa.., sasa hivi utasikia kafungiwa, kumbe nyuma yaboazia wafanyabiashara wa taa kariakoo wanakuwa wamemuundia zengwe tu ili waendelee kupiga pesa..Bongo hawakawii kutuma kikosi kazi cha TBS kufunga kiwanda
Pole ndugu, mimi ilinitoka laki 7 taa 1 ya mbele..., inauma sanaDuuu! Nimenunua dec taa za gari yangu za mbele mbili kwa 1,800,000 [emoji27][emoji27]
Badala ya kufanya haya, wao watatuma kikosi kazi cha TBS kwenda kumfungia, akili yao ni kufungia watu, na si kuwawezesha, wakati huyu ni msaada mkubwa sana kwa taifa hili!Kazi nzuri, hapa Serikali ingefaa wamuwezeshe kimafunzo zaidi. Taasisi kama Sido ndo ingefaa imshike mkono aweze kufanya molding kwa shape tofautitofauti.