Mkalukungone mwamba JF-Expert Member Joined Aug 29, 2022 Posts 862 Reaction score 1,755 Mar 1, 2025 #1 Jamani wanajukwaa! Kesho Waislamu wanaingia kwenye mwezi Mtukufu wa Ramadhani. Sasa tunajuwa muda ule wa kufuturu lazima kwenye jamvi lazima vyakula visheeni, Je unapendelea kupika au kula futari yenye mchanganyiko gani? Soma Pia: Mufti na Sheikh Mkuu Abubakar Zubeir: Mwezi haujaonekana, mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan utaanza Jumapili March 02,2025
Jamani wanajukwaa! Kesho Waislamu wanaingia kwenye mwezi Mtukufu wa Ramadhani. Sasa tunajuwa muda ule wa kufuturu lazima kwenye jamvi lazima vyakula visheeni, Je unapendelea kupika au kula futari yenye mchanganyiko gani? Soma Pia: Mufti na Sheikh Mkuu Abubakar Zubeir: Mwezi haujaonekana, mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan utaanza Jumapili March 02,2025
Intelligent businessman JF-Expert Member Joined Sep 6, 2022 Posts 31,913 Reaction score 65,514 Mar 2, 2025 #2 Ngozi ya nyoka na mayai yake
Squidward JF-Expert Member Joined Jul 21, 2014 Posts 7,828 Reaction score 9,546 Mar 2, 2025 #3 Supu ya Kongoro