Kipindi cha mgahawa WASAFI FM kimejaa stori za maisha ya baba Levo

My Honest Book

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2015
Posts
1,363
Reaction score
2,161
Asee hiki kipind ni km kapewa baba Levo awe anatoa stori za safari zake na maisha yake,yan almost 65% ya kipind anasikika baba Levo

Wazo;Baba Levo apewe kipind chake maalumu afanye kushare stori zake cos siongei km hater me shabik sana wa baba Levo na stori zake ziko very interesting na utafurah kusikiliza sema inakua ni too much mpk watangazaj wenzake imefikia hatua akianza kujizungumzia tu wanaanza kuguna(imetokea leo)
 
watu wa kigoma ni asili yenu iwezi kwepeka .Na jirani yangu anabishana na barabara ya TANROAD sembuse Tv
Hahaha ebwana mm sio m,bishi kabisa na nimezaliwa na kukulia Kigoma pia huyo jamaa tumesoma nae Shule ya msingi,Kuna utofauti wa makabila Kigoma ila watu wanajumuisha wote kuwa wabishi
 
Asee hiki kipind ni km kapewa baba Levo awe anatoa stori za safari zake na maisha yake,yan almost 65% ya kipind anasikika baba Levo

Wazo;Baba Levo apewe kipind chake maalumu afanye kushare stori zake cos siongei km hater me shabik sana wa baba Levo na stori zake ziko very interesting na utafurah kusikiliza sema inakua ni too much mpk watangazaj wenzake imefikia hatua akianza kujizungumzia tu wanaanza kuguna(imetokea leo)
Baba Levo aanze kusimulia mastory ya UMUGHAKA, DeepPond , Bill Lugano na ndumba za Mshana Jr
 
Daah sema nn jamaa yupo vizur , akianza kuongea unajikuta tuu unavutiwa kumsikiliza
 
Back
Top Bottom