My Honest Book
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 1,363
- 2,161
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]amefikiaaa hukooo mkuu????Lazima awe na sauti zaidi kwenye kipindi. Yeye ndie chawa mkuu wa boss alietayari mpaka kumzalia.
Hao jamaa wamabushana hadi na mvua haousibishane na watu kigoma.ubishi ni asili yao
🤣🤣🤣😂😂😂🤣🤣😂😂😂Baelezee, Batalokota Kunyavuusibishane na watu kigoma.ubishi ni asili yao
😂😂Hao jamaa wamabushana hadi na mvua hao
Sio wote wabishi,ila huyo jamaa alikuwa hivyo tokea kitambo Shule ya msingi Katubukausibishane na watu kigoma.ubishi ni asili yao
Sio wote wabishi,ila huyo jamaa alikuwa hivyo tokea kitambo Shule ya msingi Katubuka
Hahaha ebwana mm sio m,bishi kabisa na nimezaliwa na kukulia Kigoma pia huyo jamaa tumesoma nae Shule ya msingi,Kuna utofauti wa makabila Kigoma ila watu wanajumuisha wote kuwa wabishiwatu wa kigoma ni asili yenu iwezi kwepeka .Na jirani yangu anabishana na barabara ya TANROAD sembuse Tv
Baba Levo aanze kusimulia mastory ya UMUGHAKA, DeepPond , Bill Lugano na ndumba za Mshana JrAsee hiki kipind ni km kapewa baba Levo awe anatoa stori za safari zake na maisha yake,yan almost 65% ya kipind anasikika baba Levo
Wazo;Baba Levo apewe kipind chake maalumu afanye kushare stori zake cos siongei km hater me shabik sana wa baba Levo na stori zake ziko very interesting na utafurah kusikiliza sema inakua ni too much mpk watangazaj wenzake imefikia hatua akianza kujizungumzia tu wanaanza kuguna(imetokea leo)
Aunganishe na za gUDUME, na seneta wa mtwiz sijui huyu jamaa aliendaga wapi aisee
Pia alikuwepo General Galadudu na Daktari wa Meno, simulizi zao zilikuwa balaa. MtanescoAunganishe na za gUDUME, na seneta wa mtwiz sijui huyu jamaa aliendaga wapi aisee
Na alikua diwani kupitia ACT- maendeleo.Lazima awe na sauti zaidi kwenye kipindi. Yeye ndie chawa mkuu wa boss aliye tayari mpaka kumzalia.
Mimi ananifurahiishaga sanaDaah sema nn jamaa yupo vizur , akianza kuongea unajikuta tuu unavutiwa kumsikiliza