Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
The way unavyotumia kifaa, kinakuwa strong! ukiacha kutumia kinaisha nguvu hatimae kupotea kabisa!
Darwinism law of use and disuse upo juu mkuu
poapoa mzazi
Ila c unapiga nyeto mara moja moja auwapenzi wana jf napenda kuelewesha ivi mwanaume asipofanya mapenz kwa muda mrefu kama miaka 2-5 nimatatzo ngan yanaweza kumpata? msaada tafadhar
wapenzi wana jf napenda kuelewesha ivi mwanaume asipofanya mapenz kwa muda mrefu kama miaka 2-5 nimatatzo ngan yanaweza kumpata? msaada tafadhar
Unafanya mapenZi na mpenzi wako, unafanya tendo la ndoa na mkeo au mmeo, unafanya ngono na mlupo au malaya, unafanya uzinzi pale tu unapotoka nje ya ndoa, unafanya umalaya unapokuwa na mahusiano mengi.