Kipindi cha miaka 2 sijatembea na mwanamke, Je kuna madhara?

chrisno

Senior Member
Joined
Mar 25, 2015
Posts
117
Reaction score
16
Wapenzi wana Jf,

Napenda kuelewesha ivi mwanaume asipofanya mapenzi kwa muda mrefu kama miaka 2-5 nimatatizo gani yanaweza kumpata.

Msaada tafadhari
 
Akijapata mwanamke hatakumbukia njia. Pili, hataweza tena kutongoza mpaka atafutiwe. Kuna mtu tena anaulizaga miswali ka hii? Uzinzi kwako umeona kitu cha maana?
 
The way unavyotumia kifaa, kinakuwa strong! ukiacha kutumia kinaisha nguvu hatimae kupotea kabisa!
 
Hakuna madhara endelea kujitunza kama ni kweli ila kama ni gia ili uun'gate papuchi ya mtu humu umebugi, huku wapo kibiashara zaidi pesa mbele.
 
mmmmmmh kumbe hvo tena wacha nitafte hata kimalaya hapa town?
 
Kawaida.. Mwili unategemea maelekezo ya akili yako.
^^
 
matatizo yatakayokupata ni kutotembea na mwanaNke kwa kipindi cha miaka 2-5
 
wapenzi wana jf napenda kuelewesha ivi mwanaume asipofanya mapenz kwa muda mrefu kama miaka 2-5 nimatatzo ngan yanaweza kumpata? msaada tafadhar
Ila c unapiga nyeto mara moja moja au
 
wapenzi wana jf napenda kuelewesha ivi mwanaume asipofanya mapenz kwa muda mrefu kama miaka 2-5 nimatatzo ngan yanaweza kumpata? msaada tafadhar

Unafanya mapenZi na mpenzi wako, unafanya tendo la ndoa na mkeo au mmeo, unafanya ngono na mlupo au malaya, unafanya uzinzi pale tu unapotoka nje ya ndoa, unafanya umalaya unapokuwa na mahusiano mengi.
 
tendo hilohilo lina majina yote hayo Lol ..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…