Kipindi cha Michezo cha Magic FM kipindi kibovu kabisa

Kiwete

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2010
Posts
774
Reaction score
758
Nadhani TCRA wawe pia wanatathmini ubora wa kile wateja wanachopewa.Hiki kipindi kina Quality ndogo sana.Nusu nzima wanaweza wahoji masao bwire na Tobias kifaru.Hakuna maandalizi kabisa.Kipindi cha leo ni mfano halisi.
 
Wenzetu wachambuz wanamichezo ktk timu mbali mbali za lg kwetu wachezaj wa maneno
 
Nadhani TCRA wawe pia wanatathmini ubora wa kile wateja wanachopewa.Hiki kipindi kina Quality ndogo sana.Nusu nzima wanaweza wahoji masao bwire na Tobias kifaru.Hakuna maandalizi kabisa.Kipindi cha leo ni mfano halisi.
Kipindi sio kibovu ila muandaaji hana vitu vingi, wachambuzi nao wanajifunza. Kuna wale jamaa wawili sijui wakowapi kwasasa .walikua wana kichangamsha kipindi.
 
Wa

Wamiliki wanatakiwa kuwekeza maana wachambuzi lazima kuwalipia angalau nauli.Ila upeo wa huyu mtangazaji kwenye michezo pia ni mdogo sana.
 
Back
Top Bottom