Nadhani TCRA wawe pia wanatathmini ubora wa kile wateja wanachopewa.Hiki kipindi kina Quality ndogo sana.Nusu nzima wanaweza wahoji masao bwire na Tobias kifaru.Hakuna maandalizi kabisa.Kipindi cha leo ni mfano halisi.

Kipindi sio kibovu ila muandaaji hana vitu vingi, wachambuzi nao wanajifunza. Kuna wale jamaa wawili sijui wakowapi kwasasa .walikua wana kichangamsha kipindi.