Kipindi cha michezo chenye watangazaji (wachambuzi/watoa maoni) wengi zaidi

Hadrianus

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2020
Posts
2,112
Reaction score
5,229
Moja kwa moja kwenye mada, Clouds fm ni kituo cha redio chenye watangazaji (wachambuzi/watoa maoni) wengi zaidi katika kipjndi cha michezo japo hawakutani wote kwa pamoja.

1. Shaffi Dauda
2. Alex Lwambano
3. Edigar Kibwana
4. Prisca Kishamba
5. Yahya Njenge
6. Coutinho
7. James Tupatupa
8. Privaldinho
9. Amri Kiemba
10. Mbwiga Mbiguke
11. Issa Maeda

Kama kuna kituo kingine cha redio unachokifahamu chenye orodha ndefu ya watangazi (wachambuzi/watoa maoni) wa kipindi cha michezo, unaweza kuwaorodhesha.

NB: Simba ili atoboe Nusu fainali ajitahidi amalize wa kwanza kwenye kundi lake..

This is Hadrianus

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 
Wasafi FM wana rasilimali watu ifuatayo katika vipindi vyake vya michezo:

1. Maulid Kitenge
2. Yusuph Mkule
3. Ahmed Abdallah
4. Paul Mkai
5. Mwanaidi Suleiman
6. Musa Kawambwa
7. Musa Mwakisu
8. George Ambangile
9. George Job
10. Edo Kumwembe
11. Nasir Khalfan
12. Ricardo Momo (Mzee wa Kudere)
13. Anwar Binde (Mzee wa takwimu)
 
Mbona Musa kawambwa hujamtambulisha kama Mzee wa kibubu?
 
Wapi Issa Maeda?
 
Mm nafikiri na wao watozwe kodi ya uchambuzi maana sasa wamezidi yaan kila mtu ana anzia uchambuzi mtaani then akipata tu connection na mtangazaj au mwenye redio basi ana pewa kipindi cha uchambuzi wa soka ..

Yaan mpaka soggy doggy hunter na Dkt Levy na wao siku izi wana chambua soka 😂😂😂

Watozwe kodi hawa watakimbia wote
 
Wakikimbia wewe utafaidika na nini mzee? serikali yenyewe haitoi ajira, mkitumiwa sms ya "ile hela tuma kwenye namba hii" mnalalamika,achani watu wapambanie mkate bhana,kwani wivu hauna maana.
 
Apo Shafi Dauda,Privaldinho na Cotinho,Amri Kiemba ndo nawakubali.
Ao wingine wasubiri kwanza.

Mbwiga yeye uongo na vituko tu.
 
Hawa wote wanalipwa? au wengine wanafanya intern na kulipwa nauri basi
 
Luambano meeda na kishamba sio wachambuzi ni waendesha kipindi anchor.mbwiga ni mshereheshaji tu hata kusoma hajui.waliobaki ndio wachambuzi.nazungumzia clouds
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…