Kipindi cha Michezo Choice FM saa ngapi?

Kipindi cha Michezo Choice FM saa ngapi?

wakimataifa

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2014
Posts
942
Reaction score
168
Naomba kuwauliza wadau wa hiyo radio nasikia wanakipindi cha michezo huwa ni saa ngapi sisi wengine tupo nje ya Dar tunaipata kwenye internet tu
 
jitoe ufahamu siku moja usikilize kuanzia asubuh mpaka sa6 usiku lazima utakisikia tu na hapo ndio utajua ratiba yake
 
Back
Top Bottom