W wakimataifa JF-Expert Member Joined Nov 16, 2014 Posts 942 Reaction score 168 Feb 18, 2015 #1 Naomba kuwauliza wadau wa hiyo radio nasikia wanakipindi cha michezo huwa ni saa ngapi sisi wengine tupo nje ya Dar tunaipata kwenye internet tu
Naomba kuwauliza wadau wa hiyo radio nasikia wanakipindi cha michezo huwa ni saa ngapi sisi wengine tupo nje ya Dar tunaipata kwenye internet tu
ze-dudu JF-Expert Member Joined Jul 26, 2014 Posts 17,640 Reaction score 22,748 Feb 18, 2015 #2 jitoe ufahamu siku moja usikilize kuanzia asubuh mpaka sa6 usiku lazima utakisikia tu na hapo ndio utajua ratiba yake
jitoe ufahamu siku moja usikilize kuanzia asubuh mpaka sa6 usiku lazima utakisikia tu na hapo ndio utajua ratiba yake
W wakimataifa JF-Expert Member Joined Nov 16, 2014 Posts 942 Reaction score 168 Feb 18, 2015 Thread starter #3 ze-dudu said: jitoe ufahamu siku moja usikilize kuanzia asubuh mpaka sa6 usiku lazima utakisikia tu na hapo ndio utajua ratiba yake Click to expand... tunaomba wahusika wajibu hapa kunapasua vichwa tu
ze-dudu said: jitoe ufahamu siku moja usikilize kuanzia asubuh mpaka sa6 usiku lazima utakisikia tu na hapo ndio utajua ratiba yake Click to expand... tunaomba wahusika wajibu hapa kunapasua vichwa tu